Mbwa Mchungaji wa Kijerumani wa Zamani German: Altdeutscher Schäferhund ni jina lililotumiwa kuashiria mbwa wasiozaa wachungaji wanaotumika nchini Ujerumani baada ya uzunduzi wa Mbwa wa Mchungaji wa Kijerumani na Max von Stephanitz mwaka wa 1899. Tamko hili sasa linatumika kuashiria mbwa ambao wana uhusiano wa damu na mbwa hawa lakini huzalishwa kwa ajili ya kiwango cha kazi na si kiwango rasmi;Mbwa huyu hatambuliki hii haitambuliki na FCI lakini ana kiwango chake mwenyewe. [1]
Je,nani alizindua jina la Altdeutscher Schäferhund?
Ground Truth Answers: Max von StephanitzMax von Stephanitz
Prediction:
Nchini Ujerumani, kabla ya miaka ya 1890, mbwa yeyote alichunga kondoo alijulikana kama "Mbwa Mchungai wa Kijerumani", kabla ya uumbaji wa mbwa anejulikana sasa. Mbwa walizalishwa kwa ajili ya uwezo wao wa kazi kwani mbwa wenye uwezo maalumu walizalishwa pamoja, bila jitihada ya kuwa na sura moja, kuondoa kasoro za maumbile au kuunda aina ya mbwa thabiti; tu kuboresha ulindaji wa mifugo. [2] Katika mwaka wa 1899 Horand von Grafrath ilitangazwa kuwa mbwa wa kwanza Mchungaji rasmi wa Kijerumani, na kusajiliwa na Jamii ya Mbwa Mchungaji wa Kijerumani . [3] Horand alizaa na mbwa wengine wa kawaida ambao walionyesha sifa nzuri, lakini pia kwamba walikuwa huru ya kasoro za maumbile na walikuwa na sura sawa. [3] Mbwa waliokuwa wa mbegu hii walijulikana kama "Mbwa Wachungaji wa Kijerumani " jina Altdeutscher Schäferhund Mbwa Wachungaji wa Kijerumani wa Zamani lilipewa mbwa hawa wa kazi kwa muda ambnao hakukuwa na mbegu dhabiti. [4] Horand mwenyewe alikuwa Mchungaji wa Zamani (kwani mbegu ya Mchungaji wa Kijermani haikuwepo kabla yake) na kuzaa pamoja na mbwa waliojulikana kama Wachungaji wa zamani .Ni kutoka mbwa hawa kwamba mbwa wa kisasa wa hawa mbwa wa Mchungaji wa Kijerumani alitoka Licha ya jitihada kuja na mbegu moja, wengi wafugaji wajerumani waliendelea kuzalisha mbwa wao kwa uwezo huo, kama iliviyofanyika hapo awali, na hivyo kuendeleza mfumo usio dhabiti wa Mbwa Mchungaji wa Kijerumani, ambao ulitofautiana na mfumo uliokubalika na jamii ya Mbwa Mchungaji wa Kijerumani. [5] [6]
Je,nani alizindua jina la Altdeutscher Schäferhund?
Ground Truth Answers: Horand von Grafrath
Prediction: